NIGERIA GIRL

July 11, 2022
3 years ago

NIGERIAN GIRL😋😋 (part 4)

Me kuona dem anakuja nikaamua Leo lazima nicheze Kama mm siwezi acha hii Mali iende Ivo tu😋ata Kama nilikuwa na uoga niliamua leo ni leo😋😋 kwanza nikajiseti vizuri kwa dirisha nikamngoja ingawaje masauti za dem wa uncle zilikuwa zina disturb masikio yangu 😳😳

 

Dem alikuja akanifikia lakini this time kabla anipite nikamuita😍😍 lakini uoga😲😲acha tu😂

 

Me; Mambo mrembo,naitwa kevo ama unaweza niita Kelvin juu hio bdo ni jina yangu 😋😋

 

Ata sikubother kumuuliza jina kwanza msee nilianza kumpiga mistari zile Moto Moto🔥 za kiswahili 😍😍nilimpiga mistari yote ikaisha kwa akili lakini bado dem ameniangalia ata hasmile na hacheki😲😲me kuona mistari imeisha nikamwambia thanks for your time,, what do you say?🤔🤔can we be together 🤔

 

Kwanza akaniangalia Kisha akaniuliza,,,

 

Her; why is your trouser lifting up in front 😲😲

 

Msee kucheki kumbe juu ya vile nilikuwa naskiza uncle akikula dem yake nilikuwa nime mbao ile mbaya😲😲😲tena dem akauliza swali ingine 😲

 

Her; please can you repeat everything you told me in English because I don't understand the language you just used🙆🙆 

 

Me; yaani ni Mimi unabeba ujinga hivyo vyote 🙄🙄nishinde nimekukatia yangu yote hapa ivi alafu unaniambia nirudie kila kitu kwa kiswahili 🙄🙄

 

Her; my friend,, will you use the language that is understandable or I leave 😲😲🙆

 

Me; ok, what's your name 🤔

 

Her; Amaka😲😲

 

Me; wait don't tell me that what I'm thinking is right 😲😲😳

 

Her; what is your dirty mind thinking about now🤔

 

Me;are you a Nigerian??🤔🤔

 

Her;🙄🙄🙄 yeah and I think you are just wasting my time 🙄 let me go😳😳............( Part 5 coming 😍 niwache huyu dem aende ama niendelee kumfuata🤔🤔 niambieni hapa chini 👇👇kwa comment section

 

Alafu Kuna mtu anasema hii stori ni fupi Sana na anapenda stori refu,,,usijali ndio page hii iko na stories refu na tamu so fika hapa👇👇 uenjoy 🥰na pia Kama hujasoma parts zingine za hii stori fika hapa 👇👇 Mudimo frank

Like and share